Naweza kufanya biashara gani na mtaji wa elfu 50 nikazalisha faida?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habar za wakati huu memba mwenzangu, ndugu, jamaa, na mwana jamiiforum mwenzangu. Natumai wewe unayesoma ni mzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako na Mungu akutie nguvu kwa kila ufanyalo lifanikiwe,,,


Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada

Kwanza mimi ni mwanachuo nimebahatika nimepata shilingi elfu 50 nataka niingize kwenye biashara ili nitengeneze kipato cha kuendeleza maisha yangu?


Nasoma kwa level ya diploma Arusha huku napenda sana kujishughulisha

Am still young bado ndo kwanza miaka 19 ila ninajitahidi na kupambana na hali yangu


Nishaurini wakuu hii elfu 50 niwekeze katika biashara gani wakuu hapa katika jiji la arusha

Ushauri ni muhimu sana asante


 
 
Back
Top Bottom