P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:05 PM #1 Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 49, tangu mwaka huu mwezi wa sita amekuwa na tatizo la kutosimamisha uume wake, yaani nashindwa hata kuelewa kwa nini, au ni sababu ya umri? Madaktari nisaidieni!
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 49, tangu mwaka huu mwezi wa sita amekuwa na tatizo la kutosimamisha uume wake, yaani nashindwa hata kuelewa kwa nini, au ni sababu ya umri? Madaktari nisaidieni!