Ninataka kufungua duka la vitabu (book shop) Nina 5M, naomba ushauri

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari za asubuhi wana jamii forum. Nataka kufanya biashara ya kuuza vitabu vya shule kwa ngazi zote. Kuanzia nursery mpaka secondary ila sijajua sehemu ya kuvipata kwa jumla na pia mtaji wake. Mimi nategemea kuanza na 5million na nitakuwa mbeya.


 
 
Back
Top Bottom