Series (Special thread)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.


Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia, pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.


Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.


1. Leverage

2. Breaking bad

3. Prison break

4. Burn Notice

5. Lost

6. Revolution

7. How to make it in America

8. How I met your mother

9. Martin

10. Community

11. Walkind dead


Hizo ni baadhi tu..


UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.

New tv series nnazozipenda.


1. The last kingdom

2. Narcos

3. Quantico

4. Blindspot

5. The bastard executioner

6. Limitless


7. Jessica Jones

8. The Returned

9. Tyrat

10. Power


 
 
Back
Top Bottom