Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kisa cha kusisimua, ni kisa kitamu chenye mafundisho na kuburudisha pia.


Nimesoma visa na stori kibao humu ziwe ni dhahania au za kweli lakini zimenipa nguvu na faraja kuwa kwenye record zilizowaweka watu kwenye wakati mgumu sipo peke yangu.


Hivyo basi na Mimi nakuja na kisa cha kweli kilichonitokea mwaka 2011. Ni kisa ambacho huwa sipendi kukumbuka na kujikumbusha Mara kwa Mara ila haina budi ni jambo lilitokea.


Lazima watu wajifunze japokuwa ajali haina kinga lolote litakutokea muda wowote na mahali popote.


Kisa kinaitwa,

MIMI NA BOSS WANGU


Kaa mkao wa kula.


 
 
Back
Top Bottom