Sugu amjibu Mwita........

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa. Sugu kupitia albam mpya antivirus vol2 wimbo namba 19.

WHAT MORE I CAN SAY!


 
 
Back
Top Bottom