Tangazo La Coca-Cola Ni Tusi Kwa WaAfrika?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika kutokana na maneno yaliyotumika kwenye video yake, "WHILE THE WORLD WORRIES ABOUT THE FUTURE...... 1 BILLION AFRICANS ARE SHARING A COKE". Inamaana waAfrika tupotupo tuuuu, wenzetu wanawaza kuhusu future/destiny yao sisi tumezubaa hatujali chochote tunaShare chupa ya Coke.


I love you Africa Coca cola ad TV - YouTube



 
 
Back
Top Bottom