Tangazo la vodacom lenye vionjo vya kihaya

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau habari za saa hizi... Jamani kuna hili tangazo la vodacom la sasa kwenye redio nyingi, lina mtu anaongea kwa vionjo vya kihaya, kwakweli ananivutia saaana,,, mwishoni tangazo linaishia ''kwaniii duka roote shiringi ngapii??'',, nadhani wengi wenu mnalijua,,, nimejaribu kulitafuta utube sjalipata,, kuna mdau yoyote anaweza kuliweka hapa au kutupa link yake,,, shukrani wakuu


 
 
Back
Top Bottom