Tommy Flavour mtunzi nguli wa nyimbo Tanzania

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Dar es Salaam, Tanzania


Katika tasnia ya muziki Tanzania haina utamaduni wa kuwatambua waandishi / watunzi / waandaji / producer wa nyimbo kama ilivyo USA / Ulaya mfano Marekani alipo Quincy Jones: roles of composer, artist, arranger, conductor, instrumentalist, record company executive... Source:Home - Quincy Jones n. K


Aliyemwandikia Ommy Dimpoz aingiza pesa ndefu toka kwa mastaa Tanzania & Kenya

Source: millard ayo


Hata hivyo hali hiyo inaanza kubadilika na mtunzi / mtayarishaji kama Tommy Flavour au Barnaba Classic karama zao za uandishi wa nyimbo umeanza kuwaingizia si pesa tu bali hata nafasi ya kutambulika rasmi ktk tasnia ya muziki.


Source: Tommy Flavour


 
 
Back
Top Bottom