Unawakumbuka wacheza disco walisumbua enzi hizo?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari za jioni wana jamvi, naami ijumaa ya Leo ipo shwari. Leo nimeona tujikumbushe kidogo wacheza disco waliwahi kutamba sana enzi hizo kabla ya kuja hiki kizazi cha bongofleva na Si vibaya tukiwataja kwa majina ili kuwapa heshima...

1. BLACK MOSESS(RIP)

2. BOB KASSIM

3. BOSCO COOL J

4. KELLY JOHN

5. ALI BAUCHA

6. DIGA DIGA

7. KID FRASH(RIP)

8. MAX

Haya mdau na wewe endelea.... Na Si vibaya ukataja hata ukumbi ulikokuwa unashuhudia baadhi ya mashindano ya hawa jamaa.

Nawakilisha.


 
 
Back
Top Bottom