Victoria Beckham ajifungua Mtoto wa Nne(Baby Girl)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
[h=3][/h]





Mke wa Mwanasoka David Beckham, Victoria amepata mtoto wa kike aka baby girl jana July 10, 2011 akiwa ni mtoto wa 4 kwenye familia hiyo




David beckhama alitupia kwenye mtandao wa Facebook kuwa "wana furaha ya kutangaza ujio wa mtoto Harper Seven Beckham aliyezaliwa Los Angeles-Marekani'' na Harper Seven Beckham atakua na kaka zake watatu, Brooklyn (miaka 12), Romeo (miaka 8) naCruz (miaka 6) na jina la kati la Harper, Seven au 7 limetokana na baba yake kuvaa jezi no 7 wakati akiwa anaichezea timu ya Manchester United kabla ya kuiacha na kuhamia Real Madrid ya Spain




 
 
Back
Top Bottom