Biashara ya kunenepesha ng'ombe kuuza

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Bandugu fursa nyingine hiyo mtaji mdogo tu kama m2 ivi, especially kwa wale wa mikoani, tafuta sehemu yako yenye marisho mazuri, nunua ng'ombe hata watano kwa lak 2 au 3, walishe vizuri uza baada ya miezi 2 ivi wakinenepa vizuri hapo unaweza uza kwa lak 5 au 6 kwa kila ng'ombe.

Kwa anaetaka kujikomboa na magu fursa hiyo hapo

Nawasilisha


 
 
Back
Top Bottom