Familia ya raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ndugu wana JF


Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? Na pia ina wake wangapi kama yupo zaidi ya mmoja.


Regards,

Kiraia


 
 
Back
Top Bottom