Fursa za ajira na biashara Wilaya ya Masasi

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ni matumaini yangu moo salama salimini.


Mimi ni Kijana mwenye nguvu na ninayependa kujishughulisha sana.


Natakiwa Nihame jiji moja Maarufu (Mwanza) na kuishi Masasi- Mtwara, kutokana na sababu mbalimbali. Wenye uelewa wa wilaya ya Masasi, naomba kujua Fursa za kazi au biashara zilizopo na mbinu za kufanikiwa kuzipata maana kukaa bila kazi naona ni tabu mnooo. Nawasilisha


 
 
Back
Top Bottom