Jay Mo• amshirikisha M. I. M. S kwenye wimbo wake

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Msanii Juma Mchopanga aka Jaymo amefanya wimbo na msanii kutoka marekani ajulikanaye kwa jina la MIMS, jina la wimbo huo ni Never be me.


Big up Jaymo wimbo mzuri sana na umetutendea haki kwa chance hio na siyo AY amepata chance na Master P na Lil Romeo ameenda kuimba viduku


 
 
Back
Top Bottom