Kwa mtaji wa tsh 500, 000 naweza kuanza kilimo?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ndugu wadau, naomba ushauri wenu

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu nimejibana pesa ya mkopo na kufanikiwa kupata kiasi cha Tsh 500, 000

Lengo kubwa katika maisha yangu ni kujiajiri,, sitaki baada ya kumaliza chuo ninuse hata ofisi ya mtu bali niende uraiani kuendeleza miradi yangu niliyoianzisha nikiwa chuoni na nimeonelea kujikita zaidi katika kilimo,,,

Je kwa mtaji wa tsh 500, 000 nitaweza kwa mradi wa vitunguu

Pia napokea ushauri wowote kwa ajili tu ya kujiepusha na manyanyaso yakuajiliwa hapo badae nitakapo hitimu

naishi maeneo ya kibamba

Natanguliza shukurani za dhati kwa wenye mapenzi mema na mimi.



 
 
Back
Top Bottom