Maridadi sana tai shingoni sigara mkononi

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau naomba mnikumbushe ni nani yule aliyepiga wimbo wenye kionjo hiki "maridadi sana... Tai shingoni sigara mkononi, lakini hawana fedha mfukoni...

Atakayenikumbusha pia aliyepiga wimbo wenye kionjo hiki "Hawae.... P. O. P... Wengi wamelazwa hosptalini na kuwekewa P. O. P shauri yako Hawa" nitamshukuru sana.


 
 
Back
Top Bottom