Msaada kuhusu mabati

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari za leo wakuu!!!!

Naombeni msaada kuhusu wapi nitapata bati imara na nzuri za kuezekea.

Nimeenda Nabaki Africa ya hapa Dar lakini bei zao tumeshindwana.

Ni nyumba ya vyumba vitatu iko maeneo ya kigamboni Dar 4 km from baharini.

Nashukuru kwa msaada.


 
 
Back
Top Bottom