Msaada taarifa kuhusu utaratibu wa kufungua tuition na re-siter centers

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Tafadhali naomba msaada na taarifa jinsi ya kusajili tuition na re-siter center. Hii ni huduma ya kutoa tuittion kwa ajili ya wananfunzi waliofeli mitihani ya form four na six na pia kuwa huduma ya mafunzo kwa ajili ya kurudia mitihani hiyo. Pia tunataka kutoa huduma ya kuwafundisha vijana kwa ajili ya kufanya mitihani ya IGSCE, PSAT etc. Paomoja na taarifa ni vizuri kujua kama kuna mtu anatoa huduma ya kufanya usajili haswa mkoani Arusha


 
 
Back
Top Bottom