- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habarini wandugu!
Nataka kuanza biashara ya uwakala wa mitandao ya simu yaani Tigo Pesa, M_Pesa, Halopesa nk.
Nahitaji muongozo wa vigezo vya kuwa wakala na mapato yapoje?
Nawasilisha