P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari zenu ndugu zangu


Napenda kujua historia ya huyu producer mkongwe hapa nchini nimeangalia interview zake mbalimbali nimevutiwa na uwezo wake wa kuelezea vitu pia huyu jamaa ana content Sana hababaishi.


Napenda kujua asili yake kwa sababu kwenye interview zake nyingi anaonekana Kiswahili kumpa shida sana katika uzungumzaji wake kama siyo mbwembwe.


Ukifuatilia interview alofanya na DJ Lil omy wa Times FM utagundua nilichokisema

Hivyo basi nakaribisha michango yenu kwa anayejua historia ya P-funky Majani


 
 
Back
Top Bottom