RDJ Mamie wa E-FM amejiunga rasmi na Wasafi Media

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment nyingi kuliko post zake zote na kuonesha namna gani mashabiki walivyofurahia kuja kwake Wasafi Media lakini pia Wasafi Media imethibitisha kupitia kipindi chao maarufu cha Big Sunday Live.


 
 
Back
Top Bottom