ROSEMARY MWAKITANGWE WA VOX MEDIA(The Tanzania we want)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Picha: Rosemary Mwakitangwe akiwa kwenye moja ya midahalo inayosimamiwa na VOX MEDIA...


Wakuu nimetokea kumkubali huyu mwanamama kwa hasa anapokuwa kwenye ile midahalo ya "THE Tanzania WE WANT" nataka kujua CV yake na anafanya kazi gani nje ya hii ya midahalo na je ameolewa maana nimeona post moja hapa JF wakisema ni miss...




 
 
Back
Top Bottom