Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one.


Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.


==========


Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Seky) enzi za uhai wake, (RIP)..


===========


Wakati huohuo, mfalme wa mitandao yote ya jamii, W. Malecela a. K. A Le Mutuz (54), ametoa le tamkozi kuhusu kifo cha mfanyabiashara kama ifuatavyo;


Pia tujikumbushe mahusiano ya Lulu na Seky yalipoanza, habari juu ya mahusiano yao iliwekwa JF Tarehe 1/4/2014.


Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake


 
 
Back
Top Bottom