- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya wiki hii, vinega hawa baada ya kufunikwa dar, wakaona mmmhhh bora wakimbilie Arusha.. Chek show zao zenyewe wanavyojikongoja tangu wafanye dar 26/11 wanapga A. Town 18/12 sasa hadi kumaliza Tz nzma si itawachukua karne nzma? Kwa nn wacwe kama fiesta au epiq nation? Kila week show? Sa sijui watawakimbia mpaka lini? Yoo!!