Biashara ya Material ya Aluminium

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Hostile kwenu wakuu...

Somo lahucka natagemea kupata pesa km 20ml mwishoni kwa mwa mwezi wa 5 so natamani kusafiri CHINA au DUBAI kufuata hayo material Lengo la kuja humu nataka kujua je kwa Pesa hiyo itatosha kujaza Contener la 20ft?,,,, Pia kati ya CHINA na DUBAI wapi kuna unafuu... Nani mji gani naweza kwenda.... Nitashukuru pia nikijiua gharama za kusafirisha.... Wandugu natanguliza shukrani nikiamini JF kila kitu kinawezekana Asante


 
 
Back
Top Bottom