Biashara ya nguo za watoto za mitumba

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari za muda huu Wana jamii forums,


Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kutembeza nguo za mitumba za watoto majumbani inalipa?


Na kwa hapa Dar niwapi naweza kupata robota kwa bei nafuu? Na ni maeneo Gani ambayo naweza kutembeza biashara yangu?


Na ni faida kiasi Gani nitatengeneza kwa siku? Na zipi ni changamoto za biashara hii? Vipi kuhusu mtaji wake??


Kwa wenye uzoefu na kazi hii msaada wenu tafadhali!!


Nawasilisha!!


 
 
Back
Top Bottom