Clouds FM haisikiki Mbeya city ni mwezi wa 3 nasikia wamefunga sababu ya mbunge wa Mb town

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Je jamaa wanafanya biashara au, maana Mbeya hamna FM ya maana na zote zinaongea ujinga ujinga tu. Bora clouds kidogo ilikuwa inabadilisha mazingira.


Ukimuuliza kila mwenyeji wa hapa wanasema n habari za siasa kaka, je tutafka kama kila kitu ni siasa jamani? Naombeni majibu wadau au kama kuna staff wa clouds ajibu umu ndani kwenye jamii maana sisi ni wana jamii.


Nawakilisha toka Mbeya Tauna


 
 
Back
Top Bottom