Kuhusiana na Lulu kulia Mahakamani, Kama binti mdogo (mtoto) anayebebeshwa mzigo asioweza kuubeba

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mimi binafsi nadhani Hakuna kitu kama hicho wakuu... Kama wewe na Lulu na watu wengine labda wenye mtazamo kama wako mnaona mahakamani ni sehemu ngumu sana you are all mistakenly... Yuko pale kwa ajili ya kusafisha jina lake... Kuudhihirishia umma wa wa Watanzania na dunia kwa ujmla kwamba kifo cha Kanumba hakipo juu yake... Suala la kumuona ni mtoto kisa analia wakati si ajabu ana mambo ya kiutu uzima nadiriki kusema, mayb kuliko hata wewe ni kosa la pili unafanya mzazi


Huo siyo wakati wa kulia, Afanye jitihada kuidhihirishia mahakama kwamba she is innocent... Otherwise kama ye anajijua kweli ni mtoto na analia kutumia haki yake ya utoto kulia lia (Ambayo nadhani ni haki hata ya mzee kulia), Basi siku ya tukio alitakiwa awe nyumbani kwaooo anafanya Homework!


Nadiriki kusema sina Huruma hata kidogo na uzembe uzembe wa haka kabinti.... Na yanayoendelea sahivi ni halali kabisa katika maisha yake, and mayb nasema mayb through that way itamsaidia kubadisha mfumo mzima wa maisha aliyokua anaishi


Nawasilisha!


 
 
Back
Top Bottom