Msaada jina la wimbo huu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva

Ambao una vipande hivi

"ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."

"mkiwa mi najikongoja, mkiwa mi najikongoja...."


 
 
Back
Top Bottom