RE: Hatua za kufungua biashara ya Insurance Agent

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nina azima ya kusajili kampuni ili nifanye biashara kama insurance agent, nilipotazama kwenye TIRA website, nikaona masharti yameanishwa na mengine yananitaka nifanye mambo kadhaa, ikiwemo ya kuwa na principal officer. Ukiangalia masharti yanaonekana kuwa makubwa sana kwa insurance agent, sina uhakika kama ni hivyo au imechanganya na masharti ya insurance brokers!!


Je hili sharti la details za principal officer ni hata kwa insurance agent au kwa brokers tu.


Naomba ushauri kama kuna mtu ambaye, ameshafanya mchakato huu na kuanzisha insurance agent. Asante kwa ushauri wa hatua ulizopitia.


 
 
Back
Top Bottom