Biashara ya kuku wa kuchoma vs Biashara ya kuku wa kukaanga

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau, natumai Weeknd inaenda vizuri,


Nilikuwa na mpango wa kufungua Biashara ya kuuuza chipsi kuku (na Mungu akijaalia basi walau nyama choma mchana). Ila kwa kuangalia harakaharaka naona kama vile maeneo mengi ambamo chipsi zinauzwa kawaida ni wale wa kukaanga (binafsi sipendelei mafuta mengi) Ila za kuchoma ni nadra sana.


Je, mapendeleo ya watu ndo yanafanya chipsi za kukaanga zitawale ukicompare na za kuchomwa?


Mwenye ujuzi juu ya hili naomba kidogo nipate mawazo.


 
 
Back
Top Bottom