P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sep 6, 2026 #1 Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?