Biashara ya kuuza vitafunwa

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu naomba kujua biashara ya vitafunwa kama inalipa.


Nina mtaji wa sh 300, 000/= je, naweza kufanya biashara hii kwa mtaji huo, namaanisha vitafunwa kama maandazi, sambusa, chapati, eggchop, kababu nk: vitafunwa hivyo vikiambatana na juice, soda na maziwa.


Kwa aliyewahi kufanya biashara hii naomba anipe mwongozo asanteni.


 
 
Back
Top Bottom