Biashara ya matofali (vibrated blocks)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wanajamii wenzangu,


Leo nimekuja na wazo hili, nimetokea kutamani/kuanzisha biashara hiii, naomba mawazo yenu... Eneo la biashara natafuta sehemu ya kuanzia tegeta mpaka boko njia panda ya mbweni.


Naomba mawazo yenu na aina nzuri za mashine na aina gani/size ya tofali ni hotcake now na mtaji kiasi gani natakiwa niwe nao ila now nimeanda kama 10000 usd as initial capital.


Asanteni sana.


 
 
Back
Top Bottom