- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wakuu naomba ushauri naitaji kuanza biashara ya aina yoyote inayoweza kunitoa kwa mtaji wa sh. Milioni tano makazi yakiwa Morogoro. Nasubiri mawazo yenu niweze kuyafanyia kazi, nitafurahi yakiwa na uchambuzi wa kina.