Wajuzi kwenye biashara ya mazao

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari ya mchana wakuu,


Wenye ufahamu na biashara ya mazao naomba tupeane ABCD hapa. Kuhusu ununuaji, uuzaji vitu vya kuzingatia masoko n. K wa mazao mfano Mahindi.


Tufundishane pia jinsi ya kuanza chini (start low) kwa wasio na capital, njia za kupita na hatimaye kufanikiwa.


 
 
Back
Top Bottom