Watanzania tujikite kwenye uzalishaji tupunguze uchuuzi na biashara za ujanja ujanja

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu salaamu,

Kichwa cha habari kinahusika. Ukisoma kwenye kijitabu cha muongozo cha kituo cha uwekezaji Tanzania 2013-2014(Tanzania investment guide book 2013-2014) utaona kwamba nchi yetu ina maeneo mengi sana mazuri kwa ajili ya shughuli za kilimo na nyenginezo. Nanukuu toka kwenye kijitabu'


Potential irrigable

Farmland in Tanzania is approximately 29

Million hectares, out of which only 280, 000

Hectares are under irrigation farming'.


Lakini watu wengi wamejikita katika shughuli za uchukuzi, za kiujanja ujanja na utapeli mara sijui thailand mara china sijui uganda wakati Bongo hii fursa kibao. Nina uhakika kama tutaamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuitumia ardhi iyo bila shaka tungekuwa mbali sana. Tatizo kubwa ni uthubutu. Tutafakari.


 
 
Back
Top Bottom